Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 10/8 uku. 32
  • “Ponyo la mara moja

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Ponyo la mara moja
  • Amkeni!—1990
Amkeni!—1990
g90 10/8 uku. 32

“Ponyo la mara moja

kwa matatizo ya maisha”

Hivyo ndivyo msomaji mmoja aeleza juu ya kitabu Furaha—Namna ya Kuipata. Aliandika hivi: “Baada ya kusoma kitabu chote, nimepata kwamba ni cha wakati wake, ni cha thamani kubwa sana, cha kikanuni na ponyo la mara moja kwa matatizo ya maisha.“Sura 4 za kwanza ni wito wa ushindani kwa wasioamini kuwako kwa Mungu na wanamageuzi, zile sura 12 za katikati ni dawa ya ukosefu wa furaha na matatizo yenye kutatanisha . . . zile sura 4 za mwisho ni wito wa ushindani kwa makasisi na waenda-kanisani.

“Wale wote ambao wamesoma kitabu hiki pamoja nami waweza kuona vile mimi nimeona—Biblia inafanya kazi. Biblia ni kwa ajili ya karne zote na miongo yote.”

Kitabu hiki chenye kurasa 192 huandaa ushauri bora kabisa uwezekanao juu ya kushughulika na matatizo yanayohusu pesa, ngono, familia, ugonjwa, na kifo.

Hii ni sehemu ya kazi ya elimu ya Biblia ulimwenguni pote ambayo hutegemezwa kwa misaada ya kujitolea kwa hiari.

Mimi ningependa kukipokea kitabu chenye jalada gumu Furaha—Namna ya Kuipata.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki