Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 11/8 uku. 32
  • Soma Juu ya Serikali Itakayotawala Dunia Yote Karibuni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Soma Juu ya Serikali Itakayotawala Dunia Yote Karibuni
  • Amkeni!—1990
Amkeni!—1990
g90 11/8 uku. 32

Soma Juu ya Serikali Itakayotawala Dunia Yote Karibuni

UTAWALA ufuatao kwa dunia yote utakuwa serikali ya ulimwengu. Kitabu “Ufalme Wako Uje” chaeleza juu ya badiliko la ghafula litakalotukia wakati serikali hii ichukuapo mahali pa tawala zote za sasa za dunia. Ikiwa wewe wapenda uhai, utataka kujitiisha kwa serikali hii ya ulimwengu inayokuja. Soma juu ya utawala mpya huu utakaochukua mahali pa tawala nyinginezo duniani.

Hii ni sehemu ya kazi ya elimu ya Biblia ulimwenguni pote ambayo hutegemezwa kwa misaada ya kujitolea kwa hiari.

Mimi ningependa kukipokea kitabu chenye jalada gumu “Ufalme Wako Uje.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki