Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g91 3/8 uku. 32
  • Ni kwa Nini Mungu Huruhusu Kuteseka

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ni kwa Nini Mungu Huruhusu Kuteseka
  • Amkeni!—1991
Amkeni!—1991
g91 3/8 uku. 32

Ni kwa Nini Mungu Huruhusu Kuteseka

Habari mbaya ni uhalisi wa maisha, lakini kwa nini ni tele sana? Kwa nini kuna kuteseka kwingi sana? Kuwapo kwako kwaweza kukubalianaje na imani ya Mungu mwenye upendo? Je! kuteseka kutapata kwisha?

Majibu ya maswali hayo na mengine ya maana hupatikana katika Biblia. Majibu hayo yatia ndani wewe na familia yako. Yanatia ndani furaha yako. Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani ni kitabu kinachotoa tumaini kwa kukuelekeza kwenye majibu ya Biblia.

Kurasa 256 za kitabu hicho, zenye ukubwa wa gazeti hili, zimejawa na vielezi zaidi ya 150 vya kufundishia, vingi vyavyo vikiwa na rangi ya kupendeza. Ukipenda kupokea habari zaidi, tafadhali jaza na kupeleka kwa posta hati yenye anwani iliyo chini

Ningependa habari juu ya kitabu chenye jalada gumu cha kurasa 256 Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. (Andikia tawi la kwenu la I.B.S.A. upate habari. Ona ukurasa 4.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki