Ukurasa wa Pili
Sisi sote tumepatwa na taabu au tumeona mtu mwingine tunayependa akitaabika. Kweli kweli, historia ya binadamu imejawa na masimulizi ya watu wakitaabishwa na visababishi mbalimbali. Ni kwa nini Mungu ameruhusu jambo hilo kwa muda mrefu? Je! taabu itakuja kwisha?