Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g92 3/8 uku. 32
  • 1914 —Mwaka wa Mabadiliko Makubwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • 1914 —Mwaka wa Mabadiliko Makubwa
  • Amkeni!—1992
Amkeni!—1992
g92 3/8 uku. 32

1914 —Mwaka wa Mabadiliko Makubwa

Wanahistoria husema kwamba 1914 ulikuwa mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia. Hata hivyo, Biblia ilikuwa imetabiri muda mrefu uliopita kwamba ndivyo ungekuwa. Biblia inasema nini kuhusu 1914? Wewe umeathiriwaje na mambo yaliyotukia wakati huo?

Majibu yenye kusisimua yametolewa katika kitabu Amani na Usalama wa Kweli—Wewe Unaweza Kuupataje? Ona kichwa “Ule Mwaka Uliotiwa Alama—1914 W.K.,” katika ukurasa wa 70. Kitabu hicho kilichosahihishwa katika 1988, kimefikia mwenezo wa kustaajabisha wa jumla ya nakala milioni 42 katika lugha 70.

Tafadhali nipelekeeni nakala ya kitabu chenye jalada gumu cha kurasa 192 Amani na Usalama wa Kweli—Wewe Unaweza Kuupataje?

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 32]

U.S. National Archives photo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki