Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g92 4/8 uku. 32
  • Wakati Babu Yake Alipokufa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wakati Babu Yake Alipokufa
  • Amkeni!—1992
Amkeni!—1992
g92 4/8 uku. 32

Wakati Babu Yake Alipokufa

Mama mmoja kutoka Virginia Beach, Virginia, U.S.A., aliandika hivi: “Mwezi uliopita nilipoteza baba yangu katika kifo. Yeye na mwanangu mchanga zaidi walikuwa marafiki sana, kujapokuwa na mwendo mrefu uliowatenganisha. Nilipomjulisha kuwa babu yake alikuwa amekufa, alianza kulia kwa huzuni.

“Nilitafuta kwa haraka ile trakti Kuna Tumaini Gani kwa Wapendwa Waliokufa? Mara tu nilipoipata, uso wake ukiwa bado na machozi, nilianza kumsomea trakti hiyo. Nilipomaliza, alikuwa mtulivu zaidi. Asanteni kwa habari yenye thamani kama hiyo, ambayo ilikuwa na mafaa sana katika hali yenye uchungu kama hiyo.”

Wewe waweza kupokea trakti hiyo yenye kutia moyo, pamoja na nyinginezo, kwa kujaza na kupeleka kuponi inayoandama.

Kuna Tumaini Gani

kwa Wapendwa Waliokufa?

Ningependa kupokea trakti Kuna Tumaini Gani kwa Wapendwa Waliokufa? pamoja na trakti nyinginezo.

I.B.S.A. Box 47788, Nairobi, Kenya

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki