Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g92 7/8 uku. 32
  • Je! Uamini Utatu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je! Uamini Utatu?
  • Amkeni!—1992
Amkeni!—1992
g92 7/8 uku. 32

Je! Uamini Utatu?

Je! Yesu Kristo ndiye Mungu Mweza Yote?

Mtu mmoja kutoka Hayward, California, U.S.A., aandika hivi: “Mimi nimestaajabishwa, kusisimuliwa, na kufurahishwa na broshua iliyotajwa juu. Ni kijitabu chenye ustadi kinachokusanya habari kutoka kwa vianzo mbalimbali vya kidini, kikinukuu maungamo ya kuwa fundisho la Utatu si la kweli, linaongoza vibaya, na haliungwi mkono na Neno la Mungu, Biblia.”

Wengi wamethamini mkaguo huu wa kitaalamu, ulioelezewa vizuri wa fundisho hili la msingi la makanisa ya Jumuiya ya Wakristo. Ikiwa ungependa habari juu ya jinsi ya kupokea nakala ya broshua hii, tafadhali jaza na upeleke kuponi inayoandamana.

Ningependa habari juu ya jinsi ya kupokea broshua yenye kurasa 32 Je! Uamini Utatu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki