Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g96 3/22 uku. 32
  • Usiku wa Ukumbuko

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usiku wa Ukumbuko
  • Amkeni!—1996
Amkeni!—1996
g96 3/22 uku. 32

Usiku wa Ukumbuko

UNAKARIBISHWA

MWADHIMISHO WA KILA MWAKA WA KIFO CHA YESU KRISTO

JUMANNE, APRILI 2, 1996

JUMBA LA UFALME LA MASHAHIDI WA YEHOVA

Yesu mwenyewe alianzisha ukumbusho wa kifo chake usiku uliotangulia kifo chake. Ilikuwa sherehe sahili. Mashahidi wa Yehova wanakukaribisha ujiunge nao katika kuadhimisha tukio hili la maana kwenye Jumba la Ufalme lililo karibu na makao yako. Pata habari ya wakati na mahali barabara pa huo mkutano kutoka kwa Mashahidi wa Yehova wa mahali penu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki