Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g98 12/8 uku. 32
  • Je, Ubuni Huhitaji Mbuni?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Ubuni Huhitaji Mbuni?
  • Amkeni!—1998
Amkeni!—1998
g98 12/8 uku. 32

Je, Ubuni Huhitaji Mbuni?

Hilo ni swali ambalo wengi hulifikiria sana leo. Wewe unafikirije? Mwanamume mmoja wa Virginia, Marekani, aliandika:

“Nimemaliza tu kusoma Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Nafikiri kilikuwa kimefanyiwa utafiti kabisa na ni chenye kuamsha fikira. Nilikipokea kitabu hicho miaka kadha iliyopita kutoka kwa mmoja wa wamishonari wenu katika Summerville, South Carolina, Marekani.

“Nilikithamini sana kitabu hicho na jinsi kilivyotetea uumbaji kisayansi. Kwa sababu ya kitabu chenu, sioni tena kama nadharia ya mageuzi ni kweli. Ijapokuwa nimekuwa Mkatoliki katika muda wote wa maisha yangu, nimekifurahia sana kitabu hiki na pia mazungumzo pamoja na baadhi ya wamishonari wa Mashahidi wa Yehova.”

Ikiwa wewe pia ungependa kupata uthibitisho wenye kutegemeka kwamba uhai haukutokea kwa nasibu tu bali uliumbwa, tafadhali andikia I.B.S.A., Box 47788, Nairobi, Kenya, au tumia anwani ihusuyo kwenye ukurasa wa 5. Tutafurahi kukupelekea broshua yenye kurasa 32 Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai? Wewe Waweza Kulipataje? Jifunze juu ya ubuni wa kustaajabisha katika viumbe hai na kwa nini ubuni huu unahitaji Mbuni.

□ Nipelekeeni broshua Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai? Wewe Waweza Kulipataje?

□ Tafadhali wasilianeni nami kuhusiana na funzo la Biblia la nyumbani bila malipo

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 32]

Michoro yote: The Complete Encyclopedia of Illustration/J. G. Heck

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki