Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g99 3/22 uku. 32
  • Unaalikwa kwa Moyo Mkunjufu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaalikwa kwa Moyo Mkunjufu
  • Amkeni!—1999
Amkeni!—1999
g99 3/22 uku. 32

Unaalikwa kwa Moyo Mkunjufu

KIFO cha mwanamume Yesu Kristo zaidi ya miaka 1,900 iliyopita kilikuwa tukio la maana zaidi katika historia. Kilifungua njia ya matazamio ya kupata uhai udumuo milele chini ya hali za Paradiso. Wakati wa mwadhimisho sahili, Yesu alitumia divai na mkate usiotiwa chachu vikiwa mifano ya dhabihu yenye upendo ya kibinadamu. Kisha akawaambia wanafunzi wake hivi: “Fulizeni kufanya hili katika ukumbuko wangu.” (Luka 22:19) Je, utakumbuka?

Mashahidi wa Yehova wanakualika kwa uchangamfu ujiunge nao kuadhimisha sherehe hii ya Ukumbusho. Itafanywa baada ya jua kushuka tarehe inayolingana na Nisani 14 kwenye kalenda ya mwezi ya Biblia. Unaweza kuhudhuria kwenye Jumba la Ufalme lililo karibu na nyumbani kwako. Uliza Mashahidi wa Yehova wa kwenu saa na mahali hasa. Tarehe ya sherehe hiyo mwaka huu ni Alhamisi, Aprili 1.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki