Yaliyomo
Machi 8, 2000
Utumwa wa Kisasa—Mwisho Wake Wakaribia!
Mamilioni ya watu, hasa wanawake na watoto, huishi kama watumwa tu. Utumwa huo utakoma jinsi gani?
9 Utumwa wa Kisasa—Mwisho Wake Wakaribia!
18 “Lesi Inayoshabihi Utando wa Buibui”—Ufumaji wa Paraguai Unaovutia
20 Je, Uhuru Zaidi wa Dhamiri Utaruhusiwa Mexico?
22 Noah—Alienda Pamoja Na Mungu—Jinsi Vidio Hiyo Ilivyotayarishwa
31 Eneo la Makaburi Lisilo la Kawaida
32 “Nahitaji Kumtumaini Mungu”
Historia Mashuhuri ya Athens na Magumu Yake ya Wakati Ujao 13
Athene la kale lilijulikana kuwa chimbuko la demokrasia na falsafa ya Kigiriki. Leo jiji hilo linalopanuka lakabili matatizo yasiyo ya kawaida.
Wepesi wa kuamini bila ushuhuda ni utayari wa kuamini haraka-haraka. Imani yapasa kutegemea uthibitisho wenye kutegemeka. Biblia hupendekeza jambo jipi?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: Kushoto hadi kulia kutoka juu kulia: UN PHOTO 148000/Jean Pierre Laffont; UNITED NATIONS/J.P. LAFFONT; J.R. Ripper/RF2; J.R. Ripper/RF2; UN PHOTO 152227 by John Isaac
UNITED NATIONS/J.P. LAFFONT
Drawings of Albrecht Dürer/ Dover Publications, Inc.