Yaliyomo
Juni 22, 2000
Je, Wapaswa Kuamini Kila Jambo Usikialo?
Wengi wetu hushambuliwa na habari kila siku. Habari hizo huwa za aina gani? Unaweza kutofautishaje habari za kweli kutoka kwa habari za uwongo?
3 Uenezaji-habari Waweza Kufisha
9 Usiathiriwe na Uenezaji-habari!
20 Je, Nimeze Aspirini Kila Siku?
22 Somo Muhimu Kutoka kwa Kisiwa Kidogo Sana
Baada ya Dhoruba—Kutoa Misaada Huko Ufaransa 15
Soma kuhusu jambo lililofanywa ili kusaidia wengi wakabiliane na uharibifu uliosaba- bishwa na dhoruba mbaya zaidi iliyokumba Ufaransa katika muda wa zaidi ya miaka 300.
Kuna tahadhari gani muhimu kwa waombaji-lifti ili kuwazuia wasiwe wahasiriwa?