Yaliyomo
Novemba 22, 2000
Bahari Zafunua Siri Zake za Ndani
Katika vilindi vya bahari ulimwenguni pote, wanasayansi wamegundua jamii nzima-nzima za viumbe wasiojulikana hapo awali. Viumbe hao hustahimilije kuishi katika hali ngumu sana? Nasi twaweza kujifunza nini kutokana na viumbe hao?
3 Maajabu na Mafumbo Katika Bahari
4 Sakafu ya Bahari—Siri Zake Zafunuliwa
11 Dunia—makao ya Milele ya Viumbe
16 Rangi Inayovutia ya Kauri ya Koryo
24 Kupanda Mazao Kwenye Msitu wa Amazon
32 “Tulikusudiwa Kuishi Milele”
Kwa nini akina baba fulani huacha familia yao? Watoto wanaweza kudhibitije uchungu wanaohisi?
Kutoka Maumivu Makali Hadi Unusukaputi 21
Je, waweza kuwazia kufanyiwa upasuaji pasipo unusukaputi? Soma baadhi ya historia yenye kuvutia ya unusukaputi.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Photograph by Richard A. Lutz, Rutgers University, New Brunswick, New Jersey