Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g01 3/22 uku. 32
  • Mamilioni Watahudhuria Vipi Wewe?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mamilioni Watahudhuria Vipi Wewe?
  • Amkeni!—2001
Amkeni!—2001
g01 3/22 uku. 32

Mamilioni Watahudhuria Vipi Wewe?

Watahudhuria nini? Watahudhuria mwadhimisho wa kila mwaka wa kifo cha Yesu Kristo. Katika mwaka wa 2000, watu 14,872,086 walihudhuria ulimwenguni pote.

Kwa nini watu huhudhuria mwadhimisho huo? Kwa sababu ya manufaa ya kifo cha Kristo kwa wanadamu. Hivi karibuni kifo chake kitaondolea wanadamu magonjwa, mateso, na kifo. Hata wapendwa waliokufa watafufuliwa na kuishi katika paradiso duniani.

Kifo cha Yesu chawezaje kuleta baraka hizo? Unaalikwa kuhudhuria ili upate kujua. Mashahidi wa Yehova wanakukaribisha ujiunge nao kuhudhuria tukio hili muhimu.

Hudhuria kwenye Jumba la Ufalme lililoko karibu na kwenu. Mwaka huu mwadhimisho huo utafanywa siku ya Jumapili, Aprili 8, baada ya jua kutua. Waulize Mashahidi wanaoishi katika eneo lako kuhusu saa barabara.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki