Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g01 11/22 uku. 32
  • Uhai Ulitoka Wapi?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uhai Ulitoka Wapi?
  • Amkeni!—2001
Amkeni!—2001
g01 11/22 uku. 32

Uhai Ulitoka Wapi?

Biblia huonyesha kwamba Mungu ndiye aliyeumba mimea na wanyama mbalimbali waliomo duniani. Lakini je, twaweza kuamini simulizi hilo la Biblia? Je, simulizi hilo la Biblia laweza kuaminika linapochunguzwa na wanasayansi wa siku hizi?

Kitabu Je, Kuna Muumba Anayekujali? hujibu maswali muhimu kuhusu mwanzo wa ulimwengu na uhai uliomo duniani. Unaweza kuomba nakala ya kitabu hicho chenye kurasa 192 kwa kujaza na kutuma kuponi iliyo hapa kwa anwani iliyoonyeshwa au kwa anwani ifaayo iliyoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Nitumieni nakala ya kitabu Je, Kuna Muumba Anayekujali? Onyesha lugha unayotaka

□ Tafadhali wasilianeni nami kuhusu funzo la Biblia la nyumbani bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki