Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g02 3/8 uku. 32
  • Unaalikwa Je, Utakuwepo?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaalikwa Je, Utakuwepo?
  • Amkeni!—2002
Amkeni!—2002
g02 3/8 uku. 32

Unaalikwa Je, Utakuwepo?

UNAALIKWA WAPI? Kwenye mkutano muhimu zaidi unaofanywa kila mwaka na Mashahidi wa Yehova wa kukumbuka kifo cha Kristo, unaotegemea Mlo wa Jioni wa Bwana ambao Kristo alianzisha. Simulizi la Mathayo latueleza hivi: “Yesu alichukua mkate na, baada ya kusema baraka, akaumega na, akiwapa wanafunzi, akasema: ‘Chukueni, kuleni. Huu wamaanisha mwili wangu.’ Pia, alichukua kikombe na, akiisha kushukuru, akawapa hicho, akisema: ‘Nyweni kutoka hicho, nyinyi nyote; kwa maana hii yamaanisha “damu yangu ya agano,” inayopaswa kumwagwa kwa niaba ya wengi kwa msamaha wa dhambi.’”—Mathayo 26:26-28.

Umuhimu wa maneno hayo utaelezwa kwenye sherehe ya mwaka huu ya Mlo wa Jioni wa Bwana, mnamo Alhamisi, Machi 28, baada ya jua kushuka. Twatumaini kwamba utakuwepo. Tafadhali waulize Mashahidi wa Yehova juu ya saa kamili na mahala pa kukutana katika eneo lako. Unakaribishwa sana.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki