Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g05 8/22 uku. 32
  • Je, Kweli Mungu Anajali?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Kweli Mungu Anajali?
  • Amkeni!—2005
Amkeni!—2005
g05 8/22 uku. 32

Je, Kweli Mungu Anajali?

◼Watu wengi huamini kwamba ikiwa kuna Mungu, hawezi kuacha watu wateseke. Baadhi yao huuliza, “Mungu alikuwa wapi tulipomhitaji?” Miaka nenda miaka rudi, mamilioni ya watu wamekumbwa na huzuni nyingi, wengine hata wameuawa kwa kuteswa.

Hata hivyo, tunapozingatia jinsi ambavyo uumbaji ulivyo wa ajabu, ni wazi kwamba kuna Muumba anayejali. Kwa nini basi Mungu anayejali anaacha tuteseke sana hivyo? Ili tumwabudu Mungu kwa njia inayofaa, lazima tupate jibu lenye kuridhisha kuhusu swali hilo muhimu. Tunaweza kupata wapi jibu hilo?

Tunakuomba upate nakala ya broshua inayoitwa Je! Kweli Mungu Anatujali? Tunaamini kwamba utapata majibu yenye kuridhisha ukisoma sehemu zenye kichwa “Sababu Kwa Nini Mungu Ameruhusu Kuteseka” na “Matokeo ya Uasi Yamekuwa Nini?”

Unaweza kuomba nakala kwa kujaza sehemu iliyo hapa chini na kuituma ukitumia anwani iliyoonyeshwa au anwani ifaayo kati ya zile zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Ningependa kupokea broshua Je! Kweli Mungu Anatujali.

□ Ningependa kujifunza Biblia nyumbani kwangu bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki