Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 5/07 uku. 32
  • Ni Nani Walio Wafuasi wa Kweli wa Kristo?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ni Nani Walio Wafuasi wa Kweli wa Kristo?
  • Amkeni!—2007
Amkeni!—2007
g 5/07 uku. 32

Ni Nani Walio Wafuasi wa Kweli wa Kristo?

Ili upate jibu kwa swali hilo lenye kuchochea, unakaribishwa kwa moyo mkunjufu uhudhurie Kusanyiko la Wilaya la Mashahidi wa Yehova la “MFUATENI KRISTO!”

Ulimwenguni pote kutakuwa na mamia ya makusanyiko kuanzia Mei nchini Marekani. Ukipenda kujua kusanyiko lililo karibu nawe litafanyika wapi, unaweza kuwasiliana na Mashahidi wa Yehova katika eneo lenu au kuwaandikia barua wachapishaji wa gazeti hili. Gazeti la Mnara wa Mlinzi la Machi 1, 2007 (1/3/2007), lina orodha ya mahali ambapo makusanyiko yote yatafanywa nchini Burundi, Kenya, Kongo (Kinshasa), Rwanda, Tanzania, na Uganda.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki