Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 11/07 uku. 32
  • Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote
  • Amkeni!—2007
Amkeni!—2007
g 11/07 uku. 32

Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote

Ni kitabu kipi kingine . . .

◼ kilicho na kanuni zinazodumu kwa ajili ya watu wote?

◼ ambacho kina uvutano mkubwa juu ya sheria?

◼ ambacho kimewachochea watu wahatarishe maisha yao ili wakitafsiri na kukinakili?

Je, isingefaa kuchunguza kitabu cha aina hiyo?

Broshua Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote inachunguza sababu hizo na nyingine ambazo zinaweza kumchochea mtu asome Biblia. Unaweza kuomba broshua hii kwa kujaza sehemu iliyo hapa chini na kuituma ukitumia anwani iliyoonyeshwa au anwani ifaayo kati ya zile zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Ningependa kupokea broshua iliyoonyeshwa hapa bila masharti.

□ Ningependa kujifunza Biblia nyumbani kwangu bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki