Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 12/07 uku. 32
  • Maisha Baada ya Kifo—Biblia Inafundisha Nini Hasa?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maisha Baada ya Kifo—Biblia Inafundisha Nini Hasa?
  • Amkeni!—2007
Amkeni!—2007
g 12/07 uku. 32

Maisha Baada ya Kifo—Biblia Inafundisha Nini Hasa?

Haifundishi mambo ambayo watu wengi wameambiwa. Kwa mfano, haifundishi . . .

◼ Kwamba watu wote wazuri watathawabishwa kwa kupewa uhai mbinguni.

◼ Kwamba watu wa ukoo waliokufa wanapaswa kuabudiwa.

◼ Kwamba wafu wanaweza kuwaumiza au kuwasaidia walio hai.

◼ Kwamba wanadamu wana nafsi isiyoweza kufa. Hilo ni fundisho la dini nyingi ambalo ni msingi wa mafundisho mengine yasiyo ya kimaandiko, kama vile moto wa mateso na kuzaliwa upya katika umbo tofauti.

Hata hivyo, inafundisha mambo yanayofariji na kutia moyo. Mambo hayo yameelezwa kwa njia rahisi na ya waziwazi katika kitabu kilichoonyeshwa hapa. Unaweza kuomba kitabu hiki kwa kujaza sehemu iliyo hapa chini na kuituma ukitumia anwani iliyoonyeshwa au anwani ifaayo kati ya zile zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 5 wa gazeti hili.

□ Ningependa kupokea kitabu kilichoonyeshwa hapa bila masharti.

□ Ningependa kujifunza Biblia nyumbani kwangu bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki