Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 10/12 uku. 32
  • Msaada Ili Ufanikiwe Shuleni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msaada Ili Ufanikiwe Shuleni
  • Amkeni!—2012
Amkeni!—2012
g 10/12 uku. 32
[Picha katika ukurasa wa 32]

Msaada Ili Ufanikiwe Shuleni

● Ninaweza kukabiliana jinsi gani na mikazo darasani?

● Naweza kufanyaje maksi zangu ziwe nzuri?

● Ninaweza kufanya nini ili nielewane na mwalimu mgumu?

● Ninaweza kufikia miradi yangu jinsi gani?

[Picha katika ukurasa wa 32]

Hizo ni baadhi tu ya habari zinazozungumziwa katika vitabu Maswali Ambayo Vijana Huuliza​—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1 na la 2.

Katika vitabu hivyo utapata pia ushauri unaotegemea Biblia kuhusu marafiki, hisia zako, na uhusiano wako pamoja na watu wa jinsi tofauti.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki