Utangulizi
Baadhi ya watu hutilia shaka ikiwa Yesu alikuwa mtu halisi, ilhali wengine wanaamini kwamba alikuwa mtu halisi. Na bado wengine husema kwamba hakuna njia sahihi ya kujua ukweli kuhusu jambo hilo.
Toleo hili la Amkeni! linazungumzia ukweli wa jambo hilo.