Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g24 Na. 1 uku. 2
  • Utangulizi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi
  • Amkeni!—2024
  • Habari Zinazolingana
  • Mitandao ya Kijamii Inaniathirije?
    Vijana Huuliza
  • Watoto na Mitandao ya Kijamii—Sehemu ya 1: Je, Mtoto Wangu Atumie Mitandao ya Kijamii?
    Msaada kwa Ajili ya Familia
  • Nifanye Nini Wazazi Wangu Wakinizuia Kutumia Mitandao ya Kijamii?
    Vijana Huuliza
  • Je, Mitandao ya Kijamii Inamdhuru Mtoto Wako?​—⁠Biblia Inaweza Kuwasaidiaje Wazazi?
    Habari Zaidi
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2024
g24 Na. 1 uku. 2

Utangulizi

Mara nyingi watu hawawaheshimu wengine, hivyo mtu anapoonyesha heshima jambo hilo huwashangaza sana watu.

Kwa mfano, watu wengi hawawaheshimu wazazi wao, wazee, polisi, waajiri, walimu, na watu kwa ujumla. Kwa kuongezea, ni kawaida kwa watu kuwakejeli wengine katika mitandao ya kijamii! Makala moja ya Harvard Business Review, ilisema kwamba “kuna ongezeko kubwa” la ukosefu wa heshima. Inaongezea kusema kwamba watu wengi “wanazidi kuwakosea wengine heshima, na wengi wameanza kutambua na kuathiriwa na hali hiyo.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki