Tafsiri za Biblia Zilizotumiwa Katika Kitabu Hiki
Isipokuwa imeonyeshwa vingine, manukuu ya Maandiko yametoka katika Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya (NW). Hapa chini pana maelezo ya ufupisho wa tafsiri nyingine za Biblia ambazo zimetumiwa:
AT - The Bible—An American Translation (1935), J. M. Powis Smith na Edgar J. Goodspeed.
BHN - Biblia Habari Njema, Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa.
CBW - The New Testament—A Translation in the Language of the People. (1937; kama ilivyochapwa mwaka wa 1950), Charles B. Williams.
Int - The Kingdom Interlinear Translation of the Greek Scriptures (1969).
LEF - The Christian’s Bible—New Testament (1928), George N. LeFevre.
Mo - A New Translation of the Bible (1934), James Moffatt.
NAB - The New American Bible, Saint Joseph Edition (1970).
NAJ - Neno—Agano Jipya (1996).
NE - The New English Bible (1970).
NTIV - The New Testament in an Improved Version (1808), iliyochapishwa London.
RS - Revised Standard Version, Chapa ya Pili (1971).
SE - The Simple English Bible—New Testament, Chapa ya Marekani (1981).
Septuajinti - Tafsiri ya Septuagint Version.
UV - Union Version (1997), Biblia—Maandiko Matakatifu.
VB - Verbum Bible, Chapa ya Tatu (1996), Biblia Takatifu.
ZSB - Zaire Swahili Bible.