Ukurasa wa Kichwa/Ukurasa wa Wachapishaji
Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu
Wakati wa maelfu ya miaka ya historia ya ainabinadamu, jitihada ya binadamu ya kutafuta Mungu imeongoza kwenye vijia vingi. Matokeo yamekuwa namna namna nyingi sana za mionekano ya kidini inayopatikana ulimwenguni pote—tangu tofauti-tofauti zisizo na mwisho za Uhindu mpaka ibada ya Mungu mmoja ya Dini ya Kiyahudi, Uislamu, na Jumuiya ya Wakristo na hadi falsafa za Mashariki za Dini ya Shinto, Dini ya Tao, Dini ya Buddha, na Dini ya Confucius. Katika mikoa mingine mikubwa, ainabinadamu wamegeukia ibada ya maumbile, mizungu, uwasiliani-roho, na ushamani. Je! jitihada hiyo ya kutafuta Mungu imefanikiwa? Kupitia kitabu hiki twakualika wewe, bila kujali msingi wako wa kidini, ujiunge katika jitihada hiyo yenye kusisimua ya kutafuta Mungu wa kweli.—Watangazaji
Chapa ya 2019
Kichapo hiki ni sehemu ya kazi ya elimu ya Biblia ya ulimwenguni pote inayotegemezwa kwa michango ya hiari.
Alama za tafsiri za Biblia na za vitabu vingine vya kidini vilivyotumiwa humu:
AS - American Standard Version, American Revision Committee (1901)
AYA - The Holy Quran, iliyotafsiriwa na Abdullah Yusuf Ali (1934)
BG - Bhagavad-gītā as It Is, Chapa Iliyofupizwa, tafsiri ya A. C. Bhaktivedanta
Swami Prabhupāda (1976)
HNWW - Habari Njema kwa Watu Wote, United Bible Societies.
Int - The Kingdom Interlinear Translation of the Greek Scriptures (1985)
JP - The Holy Scriptures, The Jewish Publication Society of America (1985)
KJ - King James Version (1611)
NAB - The American Bible, Saint Joseph Edition (1970)
NW - New World Translation of the Holy Scriptures—With References (1984)
RS - Revised Standard Version, Chapa ya Katoliki (1966)
Ta - Tanakh, The Holy Scriptures, The New Jewish Publication Society Translation (1985)
UV - Union Version, United Bible Societies (1952)
ZSB - Zaire Swahili Bible, La Société Biblique du Zaïre
Isipokuwa imetaarifiwa vingine, manukuu au mitajo ya Biblia imetoka kwenye Union Version. Isipokuwa imetaarifiwa vingine, manukuu au mitajo ya Qurani Takatifu ni kutoka ile iliyotafsiriwa na Sheikh Abdullah Saleh (1984) ikatangazwa na The Islamic Foundation, Nairobi.
Wasifu wa Vitabu Kadhaa Vikubwa-Vikubwa Vilivyotumiwa
▪ Abingdon Dictionary of Living Religions, K. Crim, mhariri, 1981.
▪ Ancient Near Eastern Texts Relating to the Old Testament, J. B. Pritchard, mhariri, 1969.
▪ Ancient Sun Kingdoms of the Americas, The, V. W. von Hagen, 1961.
▪ Archeology of World Religions, The, J. Finegan, 1952.
▪ Bible of the World, The, Robert O. Ballou, mhariri, 1939.
▪ Buddhism, Richard A. Gard, mhariri, 1961.
▪ Crucible of Christianity, The, A. Toynbee, mhariri, 1975.
▪ Encyclopaedia Judaica, 1973.
▪ Encyclopedia of Eastern Philosophy and Religion, The, 1989.
▪ Encyclopedia of World Faiths, The, P. Bishop and M. Darton, wahariri, 1988.
▪ Great Asian Religions, C. George Fry and others, 1984.
▪ Great Voices of the Reformation, Harry Emerson Fosdick, mhariri, 1952.
▪ Here I Stand, Roland Bainton, 1950.
▪ Hinduism, Louis Renou, 1961.
▪ Hindu Mythology, W. J. Wilkins, 1988.
▪ History of the Arabs, Philip K. Hitti, 1943.
▪ Insight on the Scriptures, Watchtower Bible and Tract Society of N.Y., Inc., 1988.
▪ Islam, John Alden Williams, mhariri, 1961.
▪ Judaism, Arthur Hertzberg, 1961.
▪ Kodansha Encyclopedia of Japan, 1983.
▪ Lao Tsu, Tao Te Ching, A New Translation, Gia-fu Feng na J. English, 1972.
▪ Man’s Religions, John B. Noss, 1980.
▪ Manual of Buddhism, A, Nārada Thera, 1949.
▪ Mixture of Shintoism and Buddhism, The, Hidenori Tsuji, 1986.
▪ Mythology—An Illustrated Encyclopedia, R. Cavendish, mhariri, 1980.
▪ New Encyclopædia Britannica, The, 1987.
▪ New Larousse Encyclopedia of Mythology, 1984.
▪ Oxford Dictionary of Popes, The, J. N. D. Kelly, 1986.
▪ Philosophy of Confucius, The, J. Legge, mtafsiri.
▪ Reformation of the Sixteenth Century, The, Roland Bainton, 1965.
▪ Search for the Christian Doctrine, The, R. P. C. Hanson, 1988.
▪ Servetus and Calvin, R. Willis, 1877.
▪ Sources of Modern Atheism, The, Marcel Neusch, 1982.
▪ South American Mythology, H. Osborne, 1983.
▪ Story of Civilization, The, W. na A. Durant, 1954-75.
▪ Story of the Reformation, The, William Stevenson, 1959.
▪ Symbolism of Hindu Gods and Rituals, The, A. Parthasarathy, 1985.
▪ Twelve Caesars, The, Suetonius, kilichotafsiriwa na R. Graves, 1986.
▪ Wisdom of Confucius, The, Lin Yutang, mhariri, 1938.
▪ World Religions—From Ancient History to the Present, G. Parrinder, mhariri, 1983.