Jalada ya Nyuma
JITIHADA YA AINABINADAMU ya kutafuta Mungu imetawanyisha watu kwenye maelfu ya njia kama ambavyo imedhihirishwa na wingi wa dini, mafarikano, na madhehebu katika ulimwengu leo. Lakini unaweza kumpataje Mungu wa kweli? Kitabu hiki kitakusaidia umtafute Mungu kata uwe wa dini gani.