Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ba uku. 32
  • Jalada la Mwisho

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jalada la Mwisho
  • Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote
Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote
ba uku. 32

Jalada la Mwisho

Ni Kitabu Kipi Kingine

• ambacho kimeathiri kiasi kikubwa hivyo cha sanaa, fasihi, na muziki, zilizo kuu kupita zote za ulimwengu, huku pia kikiwa na uvutano mkubwa juu ya sheria?

• ambacho kimeokoka maelfu ya miaka ya kunakiliwa upya kwa mkono wa binadamu na hata hivyo kwa msingi kimetufikia jinsi kilivyoandikwa?

• ambacho kimechochea sana hali ya kutokuwa na ubinafsi hivi kwamba watu fulani wamekuwa tayari kuteseka na hata kuhatarisha maisha zao ili kukitafsiri?

• ambacho kimetafsiriwa katika lugha zaidi ya 2,100, jambo ambalo limekifanya kipatikane kwa asilimia 90 ya familia ya binadamu?

• kinachotaja kweli za kisayansi zisizovumbuliwa bado hadi karne nyingi baadaye?

• kilicho na kanuni zinazodumu ziwezazo kusaidia watu wa malezi yote ya kijamii, kikabila, na kitaifa waboreshe fungu lao maishani?

• kilicho na matabiri yenye kueleweka wazi ambayo yakatimia, kama vile inavyothibitishwa na mambo ya hakika ya kihistoria?

Je, isingefaa kuchunguza kitabu cha aina hiyo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki