Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ct uku. 192
  • Je, Kuna Muumba Anayekujali?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Kuna Muumba Anayekujali?
  • Je, Kuna Muumba Anayekujali?
Je, Kuna Muumba Anayekujali?
ct uku. 192

Je, Kuna Muumba Anayekujali?

Picha ya jalada ilipigwa mnamo 1995 kutoka kwenye darubini moja ya angani. Mawingu hayo yaliyo kama vumbi yako katika Eagle Nebula. Wanasayansi wanaamini kwamba nyota zinafanyizwa katika mawingu haya, ambayo yanaitwa “Nguzo za Uumbaji.”

Tuna maoni kama ya watu wengi wenye kuheshimika tuulizapo, Ni nini kilichotokeza ulimwengu, sayari yetu, na uhai uliomo ndani yake? Na hicho chahusianaje na kupata maisha yenye umaana wa kuridhisha?

Watu wengi huamini uumbaji, kwamba kuna Muumba anayetujali. Je, utafiti waonyesha kama jambo hilo lakubalika katika enzi hii ya sayansi?

Ugunduzi wa majuzi kuhusu ubongo wetu na uwezo wetu wa kuzungumza wahusianaje na suala hili muhimu?

Kwa nini watu wengi wenye elimu wanachunguza Biblia, na je, yale ambayo inasema kuhusu Muumba yanapasa kuwa yenye umaana kwetu na kwa wapendwa wetu?

Kitabu hiki chazungumzia masuala haya. Utaona kwamba majibu yake ya wazi yanaweza kukusaidia ufanye maisha yako yawe na maana na pia kukusaidia kuweka msingi wa wakati ujao wenye furaha zaidi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki