Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • cf uku. 1
  • Jalada la Nyuma

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jalada la Nyuma
  • ‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
cf uku. 1

Jalada la Nyuma

Je, nyakati nyingine wewe huhisi kana kwamba umepotea na unahitaji mwongozo? Yesu Kristo ndiye Kiongozi ambaye tumepewa na Mungu, na kila mwanadamu anamhitaji. Yesu alisema: “Mimi ndiye mchungaji mwema, nami ninawajua kondoo wangu na kondoo wangu wananijua.” (Yohana 10:14) Je, kwa kweli unamjua yule Mchungaji Mwema—sifa zake, ujumbe wake, kazi yake, bidii yake, upendo wake? Kitabu hiki kitakusaidia umjue Yesu vizuri zaidi na kumfuata kwa ukaribu zaidi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki