Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lc uku. 32
  • Utangulizi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi
  • Uhai—Ulitokana na Muumba?
Uhai—Ulitokana na Muumba?
lc uku. 32
Twiga, alizeti, ndege, chura

Utangulizi

Je, uhai uliumbwa au ulitokana na matukio yasiyofuata mpangilio wowote maalum? Hilo ni mojawapo ya maswali yenye kutatanisha sana. Hata hivyo, jibu lake ni muhimu sana. Broshua hii inachanganua maswali yafuatayo:

  • Je, dunia yetu iliumbwa ili kutegemeza uhai?

  • Tunaweza kujifunza nini kutokana na ubuni unaoonekana katika vitu vya asili?

  • Je, fundisho la mageuzi linategemea kabisa mambo ambayo yamethibitishwa?

  • Je, sayansi inathibitisha kwamba masimulizi ya Biblia kuhusu uumbaji si ya kweli?

  • Kwa nini unapaswa kufikiria kwa uzito msingi wa imani yako?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki