Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ll kur. 2-3
  • Utangulizi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi
  • Msikilize Mungu Uishi Milele
Msikilize Mungu Uishi Milele
ll kur. 2-3

Utangulizi

Mungu ni kama baba mwenye upendo. 1 Petro 5:6, 7

Familia inaingia katika Paradiso

Mungu ni Muumba wetu, na anatujali. Kama vile baba mwenye hekima na upendo anavyowafundisha watoto wake, ndivyo Mungu anavyowafundisha watu kila mahali njia bora ya kuishi.

Mungu anafunua kweli zenye thamani ambazo zinatupa shangwe na tumaini.

Ukimsikiliza Mungu, atakuongoza, atakulinda, na atakusaidia kushughulika na matatizo.

Zaidi ya hayo​—utaishi milele!

Mungu anatuambia: ‘Njooni kwangu, sikilizeni, nanyi mtaendelea kuwa hai.’ Isaya 55:3

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki