Abrahamu (Abram) alikufa: 1843 K.W.K.
Ruthu aliolewa na Boaz: karne ya 14 K.W.K. (mapema katika nyakati za waamuzi)
Hana azaliwa: karibu mwishoni mwa karne ya 13 K.W.K.
Samweli azaliwa: karibu mwanzoni mwa karne ya 12K.W.K.
Abigaili aolewa na Daudi karibu karne ya 11K.W.K.
Eliya: aanza huduma baada ya 940 K.W.K. mpaka 905 K.W.K.
Yona: atoa unabii karibu 844 K.W.W.
Esta: anatajwa kuanzia 493 mpaka karibu 475 K.W.K.
Yosefu amwoa Maria: 2 K.W.K.
Maria amzaa Yesu: 2 K.W.K.
Martha: anatjwa 29-33 W.K.
Petro awa mtume: 31 W.K.