Jumapili
“Mkiwa na imani . . . , jambo hilo litatendeka”—Mathayo 21:21
ASUBUHI
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 137 na Sala
3:40 MFULULIZO: Waige Wanawake Wenye Imani Yenye Nguvu!
• Sara (Waebrania 11:11, 12)
• Rahabu (Waebrania 11:31)
• Hana (1 Samweli 1:10, 11)
• Msichana Mwisraeli Aliyekuwa Mateka (2 Wafalme 5:1-3)
• Maria Mama ya Yesu (Luka 1:28-33, 38)
• Mwanamke Mfoinike (Mathayo 15:28)
• Martha (Yohana 11:21-24)
• Vielelezo vya Leo (Zaburi 37:25; 119:97, 98)
5:05 Wimbo Na. 142 na Matangazo
5:15 HOTUBA YA WATU WOTE: ‘Iweni na Imani Katika Habari Njema’ (Marko 1:14, 15; Mathayo 9:35; Luka 8:1)
5:45 Wimbo Na. 22 na Mapumziko
ALASIRI
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 126
7:50 DRAMA YA BIBLIA: Danieli: Alionyesha Imani Maisha Yake Yote—Sehemu ya 2 (Danieli 5:1–6:28; 10:1–12:13)
8:40 Wimbo Na. 150 na Matangazo
8:45 Uwe Mwenye Nguvu Kupitia Imani Yako! (Danieli 10:18, 19; Waroma 4:18-21)
9:45 Wimbo Mpya Uliotungwa na Sala ya Mwisho