Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl kur. 122-123
  • Wema

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wema
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl kur. 122-123

Wema

Ni nini kinachoonyesha kwamba Yehova ni mwema?

Zb 25:8; 31:19; 3Yo 11

Tazama pia Yer 31:​12, 13; Zek 9:​16, 17

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Kut 33:​17-20; 34:​5-7—Yehova anampatia nabii Musa maono yanayofunua wema Wake, na pia sifa zake nyingine nzuri

    • Mk 10:​17, 18—Yesu anasema kila kitu chema kinatoka kwa Yehova, Chanzo cha wema wote na ambaye anaweka viwango vya yaliyo mema

Kwa nini tunahitaji kuonyesha wema?

Met 12:2; Gal 6:10; 1Th 5:15

Tazama pia Ro 15:​2, 14; Efe 4:28

  • Simulizi la Biblia linalohusika:

    • Ro 5:7—Mtume Paulo anaeleza kwamba wema ni sifa muhimu zaidi kuliko sifa ya uadilifu, ambayo ni muhimu pia

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki