AKTIKI
barafu ya bahari inapungua na majira ya kuyeyuka yanarefuka: g 7/12 20; g 9/10 29; g 6/08 30; g 7/08 30; g 8/08 4; g03 3/8 28
jua linapowaka saa sita usiku: g05 5/22 31
maua: g 2/07 25
ndege: g 2/07 25-26
puffin: g00 5/8 14-15
njia fupi ya kusafiri kwa meli kutoka Ulaya hadi Mashariki ya Mbali: g00 10/22 28
eneo lililo kaskazini ya Amerika Kaskazini (Njia ya Kaskazini-Magharibi): g03 11/22 21-24
eneo lililo kaskazini ya Urusi (Njia ya Kaskazini-Mashariki, Njia ya Bahari ya Kaskazini): g 10/10 14-16
ongezeko la viwanda linavyoathiri eneo la Aktiki: g02 3/22 29
Pytheas afika Thule (karne ya nne K.W.K.): w10 3/1 29
ramani:
Njia ya Kaskazini-Magharibi: g03 11/22 23
Njia ya Kaskazini-Mashariki (Njia ya Bahari ya Kaskazini): g 10/10 15
tafsiri ya Biblia katika lugha ya Inuktitut: g03 1/8 28-29
visiwa vya Svalbard (Norway): g 2/07 24-27
wakaaji wanavyoathiriwa na usiku mrefu wa majira ya baridi: g 12/08 26-27; g00 3/8 29
zamani za kale eneo la Aktiki lilikuwa lenye joto: g05 6/8 28