NNE
“jiji linakaa mraba,” yaani, lina umbo la pande nne (Ufu 21:16): re 306-307
“malaika wanne” wafunguliwa (Ufu 9:14, 15): re 148-151
“malaika wanne” wazuia pepo (Ufu 7:1): re 113-115
namba ya mfano: re 19
neno Haleluya latumiwa mara nne kushangilia kuharibiwa kwa Babiloni Mkubwa (Ufu 19:1-6): re 272-275
“viumbe hai wanne” (Ufu 4:6-8): re 80-81