YEHOYAKIMU (Mfalme wa Yuda) (Pia huitwa Eliakimu) ajenga nyumba (Yer 22): jr 140-141 akosa kutii: jr 49 ampinga Yeremia: jr 23, 79 ateketeza kitabu cha kukunjwa: g 12/11 4 awa kibaraka wa Nebukadneza: jr 24 kifo: jr 24 maelezo: jr 25 utawala: jr 21 “mwaka wa nne” (Yer 25:1): dp 18-19 “mwaka wa tatu” (Da 1:1): jr 24; dp 18-19