SABATO (Siku)
(Ona pia Pumziko)
chati “Mambo ya Kukumbuka Kuhusu Sabato”: w10 2/1 15
desturi ya kushika Sabato ilipoanza: w10 2/1 12; rs 252
desturi mpya kwa Waisraeli: w98 7/15 16
dini zinazodai kuwa za Kikristo: rs 251
ilianza baada ya jua kushuka: w08 10/1 11
kusudi: w10 6/15 25; w09 6/1 23; w06 6/15 21; ip-2 248
maana ya kinabii: w08 2/15 28; w96 11/1 9
maelezo: w10 2/1 11-15; rs 250-257
manufaa: ip-2 285-287
maoni ya wafuasi wa Kanisa la Wasabato: w10 2/1 13
mapokeo ya Wayahudi: w12 5/15 30; rs 23; cl 152-153
kurusha vidonge vya theluji na kutengeneza sanamu kwa theluji: g00 9/8 28-29
lifti (kipandishi): w10 2/1 11; w96 9/1 17
maagizo ya matumizi ya dawa: w96 9/1 17
Mafarisayo: w97 10/15 30; w96 9/1 12
mstari wa kimataifa wa tarehe unatatanisha: w10 2/1 13
neno la Kiebrania: w10 2/1 12; rs 250
takwa la muda tu: g 9/11 10; w09 6/1 23
utendaji ulioruhusiwa:
“safari ya siku ya sabato”: w08 10/1 11
Waisraeli peke yao walipaswa kuishika: rs 250-252
Wakristo: w10 2/1 14; rs 250-257
hawana wajibu wa kuishika: w10 2/1 13-14; od 197; rs 250-254
maana kwa Wakristo: w06 6/15 21-22; rs 254-256; ip-2 248-249, 287-288
walioivunja Sabato waliadhibiwa: rs 251
kisa cha mtu aliyekusanya kuni: w98 9/1 19-20
wanafunzi wachuma nafaka: cf 104; w02 8/15 11-12; w02 9/1 18
Yesu Kristo: w10 2/1 12
“Bwana wa sabato” (Mt 12:8; Mk 2:28; Lu 6:5): w08 2/15 28; rs 256; w96 11/1 9
ufafanuzi kuhusu kusudi la Sabato: cl 153