OLE
(Ona pia Misiba ya Asili; Siku za Mwisho)
ole sita (Isa 5:8-30): ip-1 79-86
ole tano (Hab 2:6-19): jd 89
ole wa kwanza, mtu kuzidisha kisicho chake (Hab 2:6-8): w00 2/1 16
ole wa pili, kujipatia faida ya uovu (Hab 2:9-11): w00 2/1 16
ole wa tatu, kujenga kwa umwagaji wa damu (Hab 2:12-14): w00 2/1 17-18
ole wa nne, kufanya wenzake walewe kwa kusudi lisilo la maadili (Hab 2:15-17): w00 2/1 18
ole wa tano, ibada ya sanamu (Hab 2:19): w00 2/1 18-19
ole tatu (Ufu 8-14): w09 1/15 32; re 141-177
ole wa kwanza, nzige (Ufu 9:1-11): re 142-148
ole wa pili, majeshi ya askari wapanda-farasi, kitabu kidogo cha kukunjwa, na mashahidi wawili (Ufu 9:12–11:14): re 148-171
ole wa tatu, Ufalme (Ufu 11:14–14:20): re 158, 171-177
“ole wa dunia na wa bahari” (Ufu 12:12): re 183; ct 177-178; w96 4/1 17-18