Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w83 5/1 uku. 24
  • Mnara Wenye Msaada kwa Miaka Zaidi ya 100

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mnara Wenye Msaada kwa Miaka Zaidi ya 100
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
w83 5/1 uku. 24

Mnara Wenye Msaada kwa Miaka Zaidi ya 100

Kuanza na mwenezo wa toleo la kwanza wa nakala 6,000, Mnara wa Mlinzi umekua ukawa ndilo gazeti la kidini lenye kuenezwa sana ulimwenguni zaidi ya magazeti mengine yote ya kidini. Mwaka juzi nakala zaidi ya milioni 200 zilipigwa chapa katika lugha 106.

Gazeti la kievanjeli la New Zealand linaloitwa “Challenge Weekly” lilieleza hivi: “Gazeti hilo sasa linachapishwa kila baada ya juma mbili katika nakala 9,200,000 kila toleo na watu wanagawiwa nyumba kwa nyumba na Mashahidi wa Yehova 2,200,000 . . .

“Ni jambo jepesi sana kulaumu-laumu kazi na jitihada za watu wengine. Lakini kwa uhakika mfano wa watu hao wa kushikamana na kazi na kujitoa kwa bidii​—na matumizi ya magazeti na vitabu​—unatokeza mwito wa ushindani kwa kila Mkristo mwenye kuona wajibu wake.”

Ijue sababu inayofanya Mnara wa Mlinzi liwe gazeti linalokubaliwa na watu wengi hivyo. Ili upokee uandikishaji wa mwaka mmoja wa nakala 24, na uwe ukipata nakala ya gazeti hilo mara mbili kwa mwezi, tuma Kshs. 25/- tu (Tshs. 35/-, RWF 350). Unaweza kuandikisha katika yo yote ya zile lugha 86 zilizopangwa katika ukurasa wa pili.

Tafadhalini mnipelekee Mnara wa Mlinzi. Kwa chapa zinazotokea mara mbili kwa mwezi ninawatumia Kshs. 25/-(Tshs. 35/-, RWF 350); kwa chapa zinazotokea mara moja kwa mwezi ninawatumia Kshs. 15/- (Tshs. 20/-, RWF 200).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki