Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w85 1/15 uku. 24
  • Kinajumlisha Mambo Yote

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kinajumlisha Mambo Yote
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
w85 1/15 uku. 24

Kinajumlisha Mambo Yote

Katika barua ya kuthamini kitabu kipya “Ufalme Wako Uje,” msomaji mmoja aliandika hivi:

“Kwa kuanzia sura moja kwenda ile nyingine, kilinikumbusha juu ya meli inayosafiri mtoni ikichukua shehena ukingo wa kulia kisha wa kushoto, ikielekea inakoenda ikiwa na mizigo iliyojaa. Hakika kiliandikwa kwa njia ya kupendeza sana! Kwanza kinaeleza jambo moja kubwa kisha kinachukua jingine, nyakati zote kikimwonyesha msomaji ajihusishe ndani.”

Kichwa cha habari ya Biblia ni Ufalme wa Mungu. Sasa unaweza kusoma kitabu kinachozungumza na kueleza kichwa hicho cha Ufalme, na kinakuonyesha wewe unapohusika. Pokea nakala yako binafsi kwa kujaza na kutuma tu hati yenye anwani iliyo hapa chini.

Tafadhali nipelekeeni kile kitabu chenye jalada gumu cha kurasa 192 kinachoitwa ‘Ufalme Wako Uje.’ Ninyi ndio mtanilipia malipo ya posta. Mimi nimewapelekea Kshs. 15.00.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki