Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w82 11/1 uku. 24
  • Kinampa Mtu Nguvu za Kuwa na Tabia Njema

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kinampa Mtu Nguvu za Kuwa na Tabia Njema
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
w82 11/1 uku. 24

Kinampa Mtu Nguvu za Kuwa na Tabia Njema

Kijana mmoja wa nchi ya Brazili alieleza namna kitabu Kupata Faida Zote za Ujana Wako kinavyofanya hivyo barabara. Aliandika hivi:

“Juma kadha zilizopita nilikaribishwa na rafiki yangu nisome kitabu cha uasherati nami nikakataa. Mwanashule mwingine aliyekuwapo alishangaa kuniona nikikataa kisha akaniambia nimweleze sababu zilizonifanya nikatae kukisoma. Nikamweleza yanayosemwa na Biblia juu ya usomaji wa namna hiyo. Nilipoona akipendezwa nikaendelea kumweleza yanayosemwa na Biblia juu ya kulalana mwanamume kwa mwanamume na kupiga punyeto (kusugua viungo vya uzazi ili kutosheleza tamaa au nyege).

“‘Wewe ulijifunzia wapi yote hayo?’ akaniuliza.

“Nikamwonyesha kitabu Ujana Wako, akakichukua nami nikaanza funzo la Biblia naye wakati wa pumziko letu la adhuhuri. Rafiki yangu huyu mwenye umri wa miaka 14 amekwisha kuacha kuvuta sigara, baada ya juma chache tu za kujifunza.”

Wewe unaweza kukipokea kitabu kizuri hicho ambacho kimekwisha kuenezwa nakala zaidi ya milioni 18. Jaza tu hati ya anwani iliyo hapa kisha uitume.

Tafadhalini nipelekeeni kile kitabu chenye ngozi ngumu cha kurasa 192, Kupata Faida Zote za Ujana Wako. Mimi nimewapelekea Tsh. 10/-

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki