Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w83 1/15 uku. 24
  • Wewe Utakumbuka

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wewe Utakumbuka
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
w83 1/15 uku. 24

Wewe Utakumbuka

Tarehe ilikuwa Nisani 14 ya mwaka wa 33 W.K. Yesu alikuwa akishiriki kunywa kikombe cha divai na kula mkate usiotiwa chachu pamoja na mitume wake. Aliwaagiza wafanye nini? “Endeleeni kufanya hivi katika kunikumbuka mimi.”​—Luka 22:19, NW.

Kwa hiyo mara moja kwa mwaka Mashahidi wa Yehova kote kote ulimwenguni wanakusanyika kukumbuka kifo cha Yesu kwa njia aliyoagiza usiku ule alipotoa agizo hilo. Mwaka huu tarehe ya Nisani 14 itakuwa Machi 29. Wewe unakaribishwa kwa mikono miwili ujiunge nasi katika mkutano huu wa ukumbusho. Tafadhali waulize Mashahidi wa Yehova wanaokaa karibu nawe wakuambie wakati wa mkutano huu na mahali utakapofanyiwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki