Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w84 2/15 uku. 24
  • Kinasaidia Mume Wake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kinasaidia Mume Wake
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
w84 2/15 uku. 24

Kinasaidia Mume Wake

Je! wewe una washiriki wa jamaa yako ambao ungependa kuwasaidia kwa njia ya kiroho? Sasa kuna chanzo chenye nguvu nyingi cha kusaidia, kama kinavyoonyeshwa na barua zilizopokewa. Huu ni mfano wa barua hizo:

“Mimi nilishindwa kufungia moyoni furaha niliyokuwa nayo juu ya kile kitabu kipya kinachoitwa Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Furaha yangu ni nyingi sana kiasi cha kwamba imenilazimisha kuwaandikia barua. Mimi nilibatizwa Desemba 1981 na nikakithamini kitabu hiki kwa faida yangu mwenyewe. Lakini mume wangu, ambaye alikuwa amejaribu kusikiliza akisomewa vitabu vingine navyo vikakosa kumpendeza, amekuwa akisikiliza karibu kila usiku akisomewa sura moja-moja naye anakipenda! Njia iliyotumiwa kukiandika inavutia sana, inafaa sana, inapendeza sana kiasi cha kwamba mtu anafurahi kweli kweli kutaka kuona yatakayofuata katika sura ile nyingine! Napiga tena asante kubwa kwa ajili ya hiki kitabu kizuri.”

Kwa muda wa mwaka mmoja tu, tayari nakala zaidi ya milioni 12 za kitabu kipya hiki zimechapishwa katika lugha zaidi ya 30. Jipatie nakala yako nawe utafahamu sababu gani kinapendwa na watu wengi sana.

Tafadhalini mnipelekee, mkiwa mmenilipia malipo ya posta, kitabu kinachoitwa Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Mimi nimewapelekea Kshs 30.00 (Tshs 50.00)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki