Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w85 1/1 uku. 24
  • “Kimefanya Tukaribiane zaidi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Kimefanya Tukaribiane zaidi”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
w85 1/1 uku. 24

“Kimefanya Tukaribiane zaidi”

Hivyo ndivyo mke mmoja alivyoandika juu ya kitabu Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. “Nimesoma sehemu kubwa,” akasema, “lakini sijapata kamwe kufurahia kitabu kwa kadiri ambayo nimefurahia hiki. Mume wangu akiisha kula kiamsha-kinywa na kuondoka, mimi nachukua kitabu changu na kusoma muda wa saa moja. Inafurahisha kweli kweli! Mume wangu anakuja nyumbani kwenye chakula cha mchana, akingoja kujua mambo mapya niliyosoma. Kimefanya tukaribiane zaidi!”

Tunaona kwamba hata wewe utasisimuliwa sana na ujumbe ulio katika kitabu hicho mpaka ufurahie sana kueleza wengine mambo ambayo umesoma. Kitabu hicho kinazungumza karibu kila fundisho la Biblia, kikikusanya ushuhuda pamoja kwa ukamili na kwa njia yenye kueleweka sana hivi kwamba jibu linakuwa wazi kwa msomaji. Kurasa 256 za kitabu hicho, chenye ukubwa unaolingana na ukurasa wa gazeti hili, zina picha zaidi ya 150 za kufundishia, na nyingi zina rangi ya kupendeza. Agiza sasa. Ni cha Kshs. 35.00.

Tafadhali nipelekeeni kitabu Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani, mkiwa mmelipia malipo ya posta. Mimi nimewapelekea Kshs. 35.00.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki