Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w84 9/1 uku. 24
  • Kinatoa Tumaini Zuri Ajabu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kinatoa Tumaini Zuri Ajabu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
w84 9/1 uku. 24

Kinatoa Tumaini Zuri Ajabu

Mwanamume mmoja aliyekuwa na watoto watatu wachanga alikufa mwaka zaidi ya mmoja uliopita katika hospitali ya ugonjwa wa kansa ya Sloan-Kettering katika Mji wa New York. Mhudumu aliyekuwa akiongoza mazishi alieleza katika hotuba yake kwamba saa chache kabla hajafa mwanamume huyo alimwambia mkeye amshikie mbele yake kitabu Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani ili aweze kusoma tena sehemu inayohusu tumaini la ufufuo. Mwishoni mwa mazishi mhudumu huyo alisema kwamba kundi la Mashahidi wa Yehova lingependa kwamba washiriki wa jamaa ya mwanamume huyo wawe na nakala ya kitabu kilichompa mtu wao wa ukoo tumaini lenye nguvu hivyo. Hesabu kadha, kutia ndani mwenye kuangalia mambo ya wafu mahali hapo, walijitokeza kwa shauku na kuomba nakala moja moja. Jumla ya vitabu 20 viliangushwa kwa waliohudhuria.

Tunaonelea kwamba wewe pia utafaidika sana kutokana na mazungumzo yaliyo wazi na yenye kugusa moyo ya tumaini zuri ajabu la Biblia katika kitabu Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Kichapo hicho kizuri sana kina kurasa 256. Kurasa zake ni za ukubwa wa gazeti hili na kimejaa picha za kufundishia zaidi ya 150, nyingi yazo zikiwa zenye rangi zenye kuvutia. Agiza sasa. Ni Kshs 30/- (Tshs 50/-).

Tafadhali mnipelekee Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Ninyi mtanilipia malipo ya kukipeleka kwa posta. Mimi nimewapelekea Kshs 30/- (Tshs 50/-).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki