Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w85 2/15 uku. 24
  • ‘Leteni Kingine cha Vitabu Hivyo Vyekundu’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Leteni Kingine cha Vitabu Hivyo Vyekundu’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
w85 2/15 uku. 24

‘Leteni Kingine cha Vitabu Hivyo Vyekundu’

Wakati wa mkutano wa kawaida wa Mashahidi wa Yehova katikati ya magharibi ya United States (Amerika), simu ililia. “Hakuna mtu anayekumbuka mara ya mwisho simu kulia wakati wa mkutano,” akaandika mmoja wa waliokuwapo. Mazungumzo yalikuwa yakiendelea juu ya matumizi ya kichapo You Can Live Forever in Paradise on Earth katika huduma ya shambani. “Ebu kisieni mwanamke huyo alitaka nini!” barua ikaendelea kusema. “Mmepata​—‘kingine cha vitabu hivyo vyekundu’! Alikuwa amepokea kimoja zamani na alitaka kingine kwa ajili ya binti yake ambaye ni mtu mzima na anakaa mbali na nyumbani.”

Katika muda wa miaka miwili sasa tangu kitolewe, nakala zaidi ya milioni 15 za kitabu hicho cha kusaidia kujifunza Biblia chenye picha za kupendeza zimechapwa katika lugha zaidi ya 55. Jipatie nakala yako, nawe utafahamu sababu inayofanya kipendwe na watu wengi.

Tafadhali nipelekeeni kile kitabu chenye kurasa 256 na jalada gumu, Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Ninyi mtanilipia malipo ya kukipeleka kwa posta. Mimi nimewapelekea Kshs. 35.00 (Tshs. 100.00 au RWF 250).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki