Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w84 9/15 uku. 24
  • Kina Nguvu za Kutosha Kuweza Kugeuza Maisha ya Watu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kina Nguvu za Kutosha Kuweza Kugeuza Maisha ya Watu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
w84 9/15 uku. 24

Kina Nguvu za Kutosha Kuweza Kugeuza Maisha ya Watu

Habari zilizoandikwa zinaweza kweli kweli kuwa na nguvu hizo; hasa ujumbe ulio katika Biblia umegeuza maisha ya watu wengi. Basi, kichapo kinachofanya watu wote wauelewe ujumbe wa Biblia ni chenye kuthaminika sana! Kitabu Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani ni kichapo cha namna hiyo hasa, kama inavyoonyeshwa na barua zinazofuata:

“Hata bila kuhesabu ndani habari za kupendeza na picha nyingi za kitabu hicho, mimi napenda uthabiti ambao umetumiwa kuonyesha maandiko na maulizo na pia njia yenyewe iliyotumiwa kusema na mtu binafsi​—kumfanya mwanafunzi ayachukue mambo yote kulingana na uhusiano wake na Yehova Mungu. Njia iliyotumiwa kuonyesha watu waziwazi utofautiano wa mambo inapasa kuwasaidia wauone uhitaji wa kufanya maamuzi, kufanya mabadiliko katika imani zao, mwenendo wao, maoni yao na dini yao. Asanteni kwa msaada mpya huo ulio mzuri ajabu.”

Tayari nakala zaidi ya milioni 12 za kitabu kipya hicho zimekwisha kuchapwa katika lugha zaidi ya 30, kwa muda unaozidi kidogo tu mwaka mmoja. Jipatie nakala yako nawe utaelewa sababu gani watu wengi sana wanakipenda.

Tafadhali mnipelekee kile kitabu chenye jalada gumu cha kurasa 256, kinachoitwa Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Ninyi mtanilipia malipo ya kukipeleka kwa njia ya posta. Mimi nimewapekea Kshs. 30/-, (Tshs. 50/-).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki