Uharibifu wa Ulimwengu Kwanza—Kisha Amani ya Ulimwengu
Uharibifu wa ulimwengu utakujaje? Waokokaji watakuwa akina nani? Amani ya ulimwengu itafuataje? Je! ni wanadamu watakaoileta?
Mnara wa Mlinzi na Amkeni! yanachunguza kwa ukawaida maswali hayo ya maana sana, na kutoa majibu ya Biblia. Makala kadha zilizopita za gazeti hili, kwa mfano, zimezungumza juu ya mambo ayo hayo. Usikose magazeti ya wakati ujao!
Tupelekee Kshs. 83.00 (Tshs. 240/-au RWF 600) nawe utapokea Mnara wa Mlinzi na Amkeni kwa mwaka mzima.