Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w85 10/15 uku. 32
  • “Unavyozidi Kukisoma, Ndivyo Unavyozidi Kukipenda”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Unavyozidi Kukisoma, Ndivyo Unavyozidi Kukipenda”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
w85 10/15 uku. 32

“Unavyozidi Kukisoma, Ndivyo Unavyozidi Kukipenda”

“Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani ndicho kitabu kinachozidi vitabu vyote, isipokuwa Biblia,” anaandika msomaji mmoja kutoka visiwa ya Filipino. “Unajisikia huna la kufanya isipokuwa kukipenda kwa moyo wako wote na nafsi yako yote. Tayari mimi nimekwisha kusoma kitabu hicho mara mbili jalada mpaka jalada, na bado wakati wote ninakuwa na hamu nyingi ya kukisoma tena. Unavyozidi kukisoma, ndivyo unavyozidi kukipenda. Ni chenye mafundisho sana. . . . Mambo yanayosemwa na kitabu hicho yakifuatwa, yanatosha kuugeuza kabisa ulimwengu.”

Kichapo hicho kinachosisimua kina kurasa 256 zinazolingana na ukubwa wa kurasa za gazeti hili, tena kina picha zaidi ya 150 za kufundishia, nyingi zazo zikiwa na rangi za kupendeza. Jaza hati yenye anwani iliyo hapa chini kisha utupelekee, pamoja na Kshs. 35.00 (Tshs. 100.00 au FRW 250.00), upokee nakala yako.

Tafadhali nipelekeeni, mkiwa mmelipia malipo ya posta, kile kitabu chenye jalada gumu kinachoitwa Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Mimi nimewapelekea Kshs. 35.00 (Tshs. 100.00 au FRW 250.00).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki